Tovuti hii inatumia programu jalizi ya Chrome Frame ambayo hivi karibuni itaacha kupokea taarifa za usalama na uthabiti. Tafadhali iondoe na upate toleo jipya la kivinjari cha kisasa.
Zindua upya Chrome
Google Chrome inahitaji Windows Vista au Windows XP iliyo na SP2 au ya juu zaidi.
Katika hali hii, anwani iliyo kwenye cheti hailingani na anwani ya tovuti ambayo kivinjari chako kilijaribu kwenda. Sababu mojawapo huenda ikawa kuwa mawasiliano yako yananaswa na mshambulizi anayetoa cheti cha tovuti tofauti, hivi kusababisha kutolingana. Sababu nyingine yaweza kuwa seva imepangwa kutoa cheti kimoja kwa tovuti nyingi, pamoja na ile unayojaribu kutembelea, ingawa cheti hicho sio sahihi kwa tovuti hizo zote. Google Chrome inaweza kusema kwa uhakika kuwa umefika <strong></strong>, lakini haiwezi kuthibitisha kuwa hiyo ni tovuti sawa na <strong></strong> uliyotaka kufikia. Iwapo utaendelea, Chrome haitachunguza kutolingana kwa majina tena.
Faili yako ya mapendekezo imeharibika au ni batili.
Google Chrome haiwezi kufufua mipangilio yako.
Fika kwenye wavuti
Ili kutumia kizinduzi cha programu, lazima uzindue upya Google Chrome kwenye eneo-kazi.
Google Chrome imekoma kusasisha na haiwezi kutumiwa tena na toleo hili la mfumo wako wa uendeshaji.
Ruhusu Google Chrome Iendeshe Katika Mandharinyuma
Kuhusu Chrome Frame...
Ndiyo, ondoka kwenye Chrome
Unaweza kuona arifa zako zote kutoka programu za Chrome, viendelezi, na tovuti hapa.
Iwapo unapendelea kutenga data ya Chrome iliyopo, unaweza kuweka mtumiaji mpya wa Chrome kwa .
Tafadhali funga madirisha yote ya Google Chrome na ujaribu tena.
Chrome itahifadhi kwa usalama maelezo yako ili usihitaji kuyachapa tena, lakini bado utahitaji kudhibitisha msimbo wa usalama wa kadi yako kwa malipo siku za usoni.
Badilisha kivinjari chaguo msingi kiwe:
Tumia uongezaji kasi wa maunzi wakati unapatikana
Mapendeleo yako hayawezi kusomwa.
Baadhi ya vipengele huenda visipatikane na mabadiliko katika mapendeleo hayatahifadhiwa.
Toleo jipya la Google Chrome linapatikana.
Anzisha Google Chrome
Ruhusu Google Chrome iendeshe katika mandharinyuma
Zindua programu za Chrome
Google Chrome sasa inaingiza Vipendwa/Alamisho.
Kwenye Mac, manenosiri yanahifadhiwa kwenye Msururu wako wa kitufe na yanaweza kufikiwa au kulandanishwa na watumiaji wengine wa Chrome wanaoshiriki akaunti hii ya OS X.
Sasa umeingia kwenye Chrome! Usawazishaji umezimwa na msimamizi wako.
Mabadiliko yako yataanza kufanya kazi wakati ujao utakapozindua Google Chrome.
Pata msaada wa kutumia Chrome OS
huhitaji usome na ukubali Sheria na Masharti yafuatayo kabla ya kutumia kifaa hiki. Masharti haya hayapanui, kurekebisha au kupunguza Masharti ya Google Chrome OS.
(inahitaji uanzishaji upya wa Chrome)
Inasasisha kituo chako kwenda kituo cha ...
Fremu ya Chrome imesasishwa. Tafadhali zindua upya kivinjari chako. Toleo la Chrome: , toleo la Fremu ya Chrome:
Unahitajika kuingia kwenye Chrome ili kutumia programu hizi. Hii inaruhusu Chrome kulsawazisha programu, alamisho, historia, manenosiri yako na mipangilio mingine katika vifaa vyote.
Kompyuta hii tayari ina toleo jipya zaidi la vijenzi vya Google Chrome. Tafadhali tumia Kisakinishi cha hivi karibuni zaidi.
Usakinishaji unaokinzana wa Google Chrome au Fremu ya Google Chrome umepatikana kwenye mfumo. Tafadhali usanidue na ujaribu tena.
Kusanidua kumekamilika.
Tafadhali funga madirisha yako yote ya Google Chrome (pamoja na yaliyo kwenye modi ya Windows) na ujaribu tena.
Pata alamisho zako katika menyu ya Chrome au kwenye upau alamisho.
Kuna toleo jipya linalopatikana la Google Chrome, na ni la kasi kuliko la awali.
Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Google Chrome haitumiki kwa sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena.
Ili kutumia programu za Chrome, lazima uzindue upya Google Chrome kwenye eneo-kazi.
Endelea kuendesha programu za mandharinyuma wakati Google Chrome imefungwa
Kisanidi kimeshindwa kufungua saraka. Tafadhali pakua Google Chrome tena.
Google Chrome imesasishwa, lakini hujaitumia kwa angalau siku 30.
Kizinduzi cha Programu za Chrome
Google Chrome haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:
Yaonekana kuwa saraka ya kusanidi wa Google Chrome inatumika. Tafadhali washa kompyuta yako upya na ujaribu tena.
Google Chrome inahitaji kufungua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya . Kiungo kilichoitishwa ni .
Ho! Google Chrome imezimika. Ianzishe tena sasa?
Ijaribu, tayari imesakinishwa
Sheria na Masharti za Google Chrome
Pata msaada wa kutumia Chrome
Uliingia kwenye Chrome kama . Tafadhali tumia akaunti sawa ili kuingia tena.
Google Chrome Frame
Maelezo yako ya utozwaji yamehifadhiwa katika Chrome.
Google Chrome inatumia maikrofoni yako.
Dhibiti na ugeuze Google Chrome ikufae
Ulijaribu kufikia <strong></strong>, lakini seva iliwasilisha cheti ambacho muda wake wa kutumika umeisha. Hakuna maelezo yanayopatikana ili kuonyesha iwapo cheti hicho kimeathirika tangu muda wake kuisha. Hii inamaanisha Google Chrome haiwezi kuhakikisha kuwa unawasiliana na <strong></strong> na siyo mshambulizi. Saa ya kompyuta yako sasa imewekwa kama . Je, iko sawa? Kama haiko, unapaswa kurekebisha hitilafu na uonyeshe upya ukurasa huu.
Kifaa chako kimesasishwa.
Google Chrome inajaribu kuonyesha manenosiri. Chapa nenosiri lako la Windows ili uruhusu hili.
Ondoa Google Chrome
Programu za Chrome Canary
Inakaribia kusasishwa! Anzisha kifaa chako upya kifaa ili kukamilisha kusasisha.
- Google Chrome
Chrome - Arifa
Dirisha jipya
Ingia katika Chrome
Kuna toleo jipya na salama la Google Chrome.
Tafadhali funga madirisha yote ya Google Chrome na uianzishe upya ili mabadiliko haya yatekelezwe.
Kizinduzi cha Programu ya Google Chrome ni mfumo wa pekee wa programu za Chrome.
Karibu
Hoja batili. Fremu ya Google Chrome haiwezi kusakinishwa katika modi tayari bila kusakinisha Google Chrome pia.
Ulijaribu kufikia <strong></strong>, lakini seva iliwasilisha cheti ambacho bado siyo halali. Hakuna maelezo yanayopatikana kuonyesha iwapo cheti hicho kinaweza kuaminika. Google Chrome haiwezi kuhakikisha kwa Ndivyo unawasiliana na <strong></strong> na siyo mshambulizi. Saa ya kompyuta yako sasa imewekwa kwa . Je, hiyo inaonekana sawa? Kama siyo, unapaswa kurekebisha hitilafu na uonyeshe upya ukurasa huu.
http://support.google.com/chrome/?p=ib_chromeframe
Programu za Chrome
ni hasidi, na Chrome imeizuia.
Chrome OS imewezeshwa na programu ya ziada ya programu huria.
Sanidi Usawazishaji ili kuhifadhi vipengele vyako vya kivinjari vilivyobinafsishwa kwenye mtandao na uvifikie kutoka Google Chrome kwenye kompyuta yoyote.
Chrome OS
Sasisha
Google Chrome haikufungika ipasavyo. Kufungua tena kurasa ulizokuwa umefungua, bofya Rejesha.
Chrome imekuwa bora! Toleo jipya linapatikana.
Ili kufanya Chrome salama zaidi, tumezima baadhi ya viendelezi ambavyo havijaorodheshwa katika na ambavyo huendwa viliongezwa pasipo ridhaa yako.
Google Chrome inajaribu kuonyesha manenosiri.
Huwezi kusakinisha toleo la Google Chrome ambalo tayari linatumika. Tafadhali funga Google Chrome na ujaribu tena.
Kituo cha Chrome cha Taarifa
Inasasisha Google Chrome...
Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu.
Ulijaribu kufikia <strong> </ strong>, lakini seva iliwasilisha cheti kilichotolewa na huluki ambaye haaminiwi na mfumo wa uendeshaji wa kompyuta yako. Huku kunaweza kumaanisha kuwa seva hiyo imeunda stakabadhi zake za usalama, ambazo Chrome haiwezi kuzitegemea kwa maelezo ya utambulisho, au huenda mshambulizi anajaribu kukatiza mawasiliano yako.
Wasifu wako huenda usitumike kwa sababu unatoka katika toleo jipya la Google Chrome.
Huenda baadhi ya vipengele visipatikane. Tafadhali bainisha saraka tofauti ya wasifu au tumia toleo jipya la Chrome.
Chrome - Arifa ( hazijasomwa)
Nenda kwenye
menyu ya Chrome >
>
>
na uhakikishe kuwa usanidi wako umewekwa kwenye "hakuna proksi" au "moja kwa moja."
Toleo lisilojulikana.
Inasasisha kifaa chako...
Ondoa
Unautazama ukurasa salama wa Google Chrome.
imeongezwa kwenye Chrome.
Ulijaribu kufikia <strong> </ strong>, lakini seva iliwasilisha cheti kilichotolewa na huluki ambaye haaminiwi na Google Chrome. Huku kunaweza kumaanisha kuwa seva hiyo imeunda stakabadhi zake za usalama, ambazo Google Chrome haiwezi kuzitegemea kwa maelezo ya utambulisho, au huenda mshambulizi anajaribu kukatiza mawasiliano yako.
Hakuna usakinishaji wa Google Chrome au Google Chrome Frame uliopatikana ili kusasisha.
Awali mtu aliingia katika Chrome kwenye kompyuta hii kama . Iwapo hiyo sio akaunti yako, weka mtumiaji mwengine wa Chrome ili utenganishe maelezo yako.
Kuingia bila kujali kutaunganisha maelezo ya Chrome kama vile alamisho, historia, na mipangilio mingine kwenye .
Onyo: Google Chrome haiwezi kuzuia viendelezi kurekodi historia yako ya utafutaji. Ili kuzima kiendelezi hiki katika modi fiche, acha kuchagua hiari hii.
Chrome
Funguo za API za Google zinakosekana. Baadhi ya utendaji wa Google Chrome utazimwa.
Hifadhi maelezo katika Chrome
Futa historia yako ya kuvinjari pia?
Programu unayotumia kwenye kompyuta yako haioani na Google Chrome.
Upau wa Google Chrome
Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta.
Google Chrome imefanikishwa na mradi wa programu huria wa Chromium na programu huria zingine.
Google Chrome inaweza itumie huduma za wavuti ili kuboresha utumizi wako wa kuvinjari.
Google Chrome inahitaji Windows XP au mpya zaidi. Baadhi ya vipengele huenda visifanye kazi.
Kituo kimebadilishwa. Zima na uwashe kifaa chako ili mabadiliko yaanze kutumika.
Maelezo muhimu kuhusu data yako ya Chrome
chrome
Usinisumbue
Je, una hakika kuwa ungependa kusanidua Google Chrome?
Upakuaji unaendelea kwa sasa. Je, unataka kuondoka kwenye Google Chrome na kughairi upakuaji?
Google Chrome imesanidiwa ili kuzindua moja kwa moja unapowasha komyuta yako.
Kuhusu &Chrome OS
Jozi za Google Chrome
hufanya mabadiliko ya mipangilio sawa na baadhi ya programu hasidi, kwa hivyo Chrome imeizuia.
Fanya Google Chrome iwe kivinjari chaguo-msingi
Wasifu unaonekana kuwa unatumika na mchakato mwingine wa Google Chrome () kwenye kompyuta nyingine (). Chrome imefunga wasifu huu ili usifisidiwe. Kama una uhakika hakuna michakato mingine inayotumia wasifu huu, unaweza kufungua wasifu na uzindue Chrome tena.
Kizinduzi cha Programu za Chrome
Kanari ya Google Chrome
Google Chrome inakuwezesha kubofya nambari ya simu kwenye wavuti na kuipigia simu kwa Skype!
Sakinusha Kizinduzi cha Programu ya Chrome
Kijenzi kilicho na jina sawa kimejulikana kuwa na ukinzani na Google Chrome.
Nenda kwenye
menyu ya Chrome >
>
na uondoe tiki kwenye "."
Iwapo hii haitatatua tatizo, tunapendekeza uchague tena hiari hili kwa utendaji ulioboreshwa.
Sasisha Chrome OS
Canary ya Kizinduzi cha Programu ya Chrome
Ondoa kwenye Chrome
Umeingia kwenye Chrome!
Karibu Google Chrome
Unaingia katika akaunti ukitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Google Chrome. Data yako ya Chrome, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio mingine itahusishwa na daima . Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine.
Lazima upate toleo jipya la Chrome ili kutumia Google Wallet [].
Nenda kwenye
Programu > Mapendeleo ya Mfumo > Mtandao > Uboreshaji > Proksi na uondoe tiki kwenye proksi zozote ambazo zimechaguliwa.
Msaidizi wa Google Chrome
Sasisha &Google Chrome
Mabadiliko yako yatatekelezwa utakapowasha upya tena kifaa chako.
Anza kutumia Chrome OS
Google Chrome inatumia kamera yako.
Kompyuta hii tayari ina toleo jipya zaidi la Google Chrome. Ikiwa programu haifanyi kazi, tafadhali sanidua Google Chrome na ujaribu tena.
Onyesha menyu ya Chrome
Ukurasa huu unaonyesha tu maelezo yako ya uharibifu wa hivi karibuni ukiwezesha kuripoti uharibifu.
Google Chrome imelemazwa. Izindue upya sasa?
Kwa kuwa sasa umeingia katika akaunti, unaweza kupata vichupo vyako, alamisho na vitu vingine vya Chrome vilivyo katika kompyuta yako ndogo, simu na kompyuta kibao. Pia utapokea mapendekezo na vipengele vinavyofaa zaidi kuhusu huduma za Google.
Je, ungependa Google Chrome ihifadhi nenosiri lako?
Je, unataka Google Chrome ihifadhi nenosiri lako la tovuti hii?
Ondoka Chrome
Ungependa kuunganisha data yako ya Chrome kwenye akaunti hii?
http://www.google.com/support/chrome/bin/answer.py?hl=&answer=161796
Kivinjari Wavuti
Google Chrome haikuweza kuunda njia mkato ya programu.
Google Chrome inatumia kamera na maikrofoni yako.
Google ChromeOS haiauni kuzindua programu ya nje kushughulikia viungo vya . Kiungo kilichoitishwa ni .
Ruhusu Chrome ifikie mtandao kwenye mipangilio yako ya ngome au kingavirusi.
Faili hii ni hasidi, na Chrome imeizuia.
Hiari: Saidia kuifanya Chrome OS kuwa bora kwa kutuma kiotomatiki takwimu za utumiaji na ripoti za kuvurugika kwa Google.
Upakuaji unaendelea kwa sasa. Je, unataka kuondoka kwenye Google Chrome na kughairi upakuaji?
Ni kwa kwa nini ninaona hii?
Google Chrome sio kivinjari chako cha chaguo-msingi
Umeingia katika akaunti kama . Sasa unaweza kupata alamisho, historia, na mipangilio yako mingine kwenye vifaa vyako vyote vilivyoingia katika akaunti.
Nenda kwenye
menyu ya Chrome >
>
>
>
Mipangilio ya LAN
na uondoe tiki kwenye "Tumia seva ya proksi kwa LAN yako".
Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Tafadhali pakua Google Chrome tena.
Tovuti hii inatumia programu jalizi ya Chrome Frame ambayo hivi karibuni itaacha kupokea taarifa za usalama na uthabiti. Tafadhali iondoe na upakue kivinjari kinachooana.
Sasa umeingia kwenye Chrome! Alamisho, historia, na mipangilio yako mingine itasawazishwa na Akaunti yako ya Google.
Google Chrome haichukuani na .
Tafadhali toka na uingie tena ili mabadiliko haya yafanye kazi.
Kijenzi hiki kinajulikana kwa kuwa na ukinzani na Google Chrome.
Google Chrome OS
Google Chrome imesasishwa.
Je, unataka Chrome ihifadhi maelezo haya ya kadi ya mkopo ya kukamilisha fomu za wavuti?
Ongeza kwenye Chrome
Fremu ya Google Chrome tayari imesakinishwa na inapatikana kwa watumiaji wote wa kompyuta hii. Ikiwa unataka kusakinisha Fremu ya Google Chrome katika kiwango chako, kwanza sharti usanidue toleo la kiwango cha mfumo lililosakinishwa na msimamizi.
Msaidizi wa Chrome
Unganisha data yangu ya Chrome kwenye akaunti hii
Inaongeza kwenye Chrome...
Kumbukumbu ya kisanidi imevurugika au ni batili. Tafadhali pakua Google Chrome tena.
Google Chrome haiwezi kuonyesha uhakiki wa kuchapisha wakati kionyeshi kilichojengewa ndani cha PDF kinakosekana.
Yasikitisha, mipangilio ya Mozilla Firefox haipatikani kivinjari hicho kikiwa kinatumika. Kuingiza mipangilio hiyo kwa Google Chrome, hifadhi kazi yako na ufunge madirisha yote ya Firefox. Kisha bofya Endelea.
Unaingia katika akaunti ykitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Google Chrome. Data yako ya Chrome, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio mingine itahishwa na daima. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine. Unaweza kuunda kwa hiari wasifu mpya ili kuweka data yako ya Chrome iliyo kando.
Google Chrome
Hakimiliki Google Inc. Haki zote zimehifadhiwa.
Google Chrome ni kivinjari cha wavuti kinachoendesha kurasa za wavuti na programu kwa kasi ya umeme. Ni ya kasi, thabiti, na rahisi kutumia. Vinjari wavuti kwa usalama zaidi kwa kinga dhidi ya programu hasidi na hadaa iliyojengwa ndani ya Google Chrome.
Sasisho la Fremu ya Chrome
Google Chrome au Google Chrome Frame haziwezi kusasishwa kwa sababu ya mipangilio isiyofanana ya Sera ya Kikundi Sasishi ya Google. Tumia Kihariri cha Sera ya Kikundi kuweka kufutwa kwa sera ya sasishi kwa programu za Google Chrome Binaries na ujaribu tena; angalia http://goo.gl/uJ9gV kwa maelezo.
Unaingia kwa kutumia akaunti inayodhibitiwa na kutoa ruhusa msimamizi wake adhibiti wasifu wako kwenye Chrome. Data yako kwenye Chrome, kama vile programu, alamisho, historia, manenosiri yako, na mipangilio mingine itasalia kabisa kwenye . Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti ya Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine.
Msimamiaji kompyuta amesanidi Google Chrome kwenye mfumo huu na inapatikana kwa watumiaji wote. Google Chrome ya kiwango cha mfumo itachukua mahali pa usanidi wako wa kiwago cha mtumiaji sasa.
Ulijaribu kufika <strong></strong>, lakini cheti ambacho seva iliwasilisha kina hitilafu. Google Chrome haiwezi kutumia cheti kilicho na hitilafu na haiwezi kuhalalisha utambulisho wa tovuti ambayo umejaribu kujiunga.
Google Inc.
Inakaribia kusasishwa! Zindua upya Google Chrome ili kukamilisha kusasisha.
Kidhibiti Kazi - Google Chrome
Google Chrome sasa inaingiza vitu vifuatavyo kutoka :
Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji imetokea wakati wa kusanidi. Tafadhali pakua Google Chrome tena.
Vijenzi vilipakia katika Google Chrome
Kuhusu &Google Chrome